Staa wa muziki wa Uholanzi ashangazwa na Bongo Flava

Msanii wa muziki wa reggae na dancehall kutoka nchini Uholanzi, Ziggi Recado amewataja mastaa wawili wa Afrika anaowakubali ambao ni Wizkid na Mr. Eazi.

source